Thursday, February 2, 2012

Curtain Designs Catalouges....... Available at homez deco........Karibuni sana ofisini kwetu, kinondoni studio, karibu na sterior bar...... tuna catalogues zaidi ya 300 mpya...... ndio nimeanza kuwaletea..... pls msishangae ni tatu kwa sasa, nyingi nitaendelea kuwaletea, kumbuka siuzi vitambaa, ninashona tu kwa sasa......
NB:

Ninapenda kuchukua nafasi hii kujibu comments zenu,

1. Kuna mdau aliniuliza, mara niko mwanamboka, mara niko studio-karibu nasterior bar, ni kwamba kule nikokuweko mwanamboka, mwenye jengo anauza jengo lake, nisingeweza kung'ang'ania nibaki hapo, sasa nikapata frem maeneo ya karibu na sterio bar studio, ndiko niliko sasa, na pia sijabadilisha hapo, kwenye profile, kwa sababu ninaendelea kutafuta frems, barabarani, na kama mnavyojua, frem ni gharama sana, so ninaendelea kujipanga......ROME WASNT BUILT IN A DAY.....taratibu tutafika mnivumilie.......

2. Kwa bei za sofa sets, so far, nitawaletea humu, ..............siku hizi mbili tatu.........nitakua nikionyesha design na bei zake, nadhani hiyo itakua ni rahisi kwenu wadau.........

(Nina suprise Mondaya nitawaambia) .......... hahahaha... God is great......
Nawatakia siku njema......

No comments:

Post a Comment