Thursday, February 2, 2012

Una viti vya dinning table? Tunashonea covers.......Muonekano wa viti vya dinning vikiwa vimeshonewa covers,,,, huna haja ya kuvitupa kama bado unavipenda........... tuwasiliane tukushonee covers.....

3 comments:

  1. naommba kuuliza,viti vyangu ni vya chuma,je waweza vishonea cushions?

    ReplyDelete
  2. karibu, naomba nitumie picha ya hivyo viti nione design yake kwanza kabla sijakujibu,

    ReplyDelete
  3. samhani ma dear,viti vyangu vya mbao vya kawaida 2.tena mtiNdo wa kizamani kwa kweli navipenda ila muonekano wa zamani..je kushonea cover ni shs ngp kila kimojA?

    ReplyDelete