Monday, February 20, 2012

Radio Interview with Capital Radio.. 101.4 FM @11:00am todayGoodmorning People, natumai weekend ilikua nzuri, na tumeanza wiki vizuri, weekend kwangu ilikua nzuri tuuu. Leo nina interview na radio Capital saa 11:00 asubuhi hii, karibuni msikilize nini kitaongelewa.......Hapa niko tayari nimejiandaa ndio naelekea huko......

nawatakiwa siku njema.....

2 comments:

  1. Simple but classy! Ulipendeza sana dear. Dada Phides haukuwa nae? Angekuja na yeye kutupa ujuzi wake wa "kisauzi". This is how a lady should wear jamani. Fresh and clean :)

    ReplyDelete
  2. asante mdau, dada Phides next time atakwenda, tuligawana majukumu, yaani usiwe na wasi wasi, atawaletea tuu maujuzi wenzetu wa kisauzi wanafanyaje...

    siku njema...

    ReplyDelete