Monday, February 27, 2012

HIZO NI SEHEMU AMBAZO TULIWAPANDIA MAUA


 
hapo ni kwenye jengo kubwa la ofsi za utengenezaji wa glasses za aina mbalimbali, duniani, tuliwapandia
maua, na kukatia baadhi ya miti yaani pruning,also we did mowing their lawan ni sehemu kubwa,
  sana ilituchukua muda, kitu ninachowapendea wenzetu wanajali wanalipa vizuri, hakuna longo longo usumbufu, ahadi hewa nope nope mnakubaliana kazi unapewa na advance up front ukipungukiwa unawajulisha, siyo dar kwanza musumbuane, mpotezeane muda hakuna kitu kinachoniudhi mtu anakuambia nitakuja tuongeo, nina kazi, unamsubiri haonekani hata simu akupigie kukujulisha kwamba nimepata dharura, 
jitahidini tusipotezeane muda, una udhuru nijulishe mapema  najua kuna kuwaga na dharura toa  taarifa, time to me is more than money . tafadhalini wateja tujali muda, pamoja na traffic jam ya dar na matatizo,   yote.  asanteni.
 
 
Till next time, it's me Jossyanne..

1 comment:

 1. ava fx I have been browsing online more
  than 2 hours today, yet I never found any interesting article
  like yours. It is pretty worth enough for me.
  In my opinion, if all webmasters and bloggers made good content as you did,
  the web will be much more useful than ever before.

  ReplyDelete