Tuesday, February 7, 2012

Muendelezo wa curtain designs.....zinapatikana Homez Deco...ndugu mdau, ukihitaji hizi pazia, nitumie email na picha ya pazia unayohitaji, kwa maelekezo zaidi....

1 comment:

  1. pazia zinavutia ile mbaya nitakutafuta kwa maelezo zaidi na pia nina swali langu je mnatengeneza vitanda vya kisasa na kudeco chumba kwa watoto ila si vya watoto wachanga,nitarudi dar muda si mwingi sana kwa hiyo ningependa kumtengenezea mwanangu chumba chake,nitakuja na nitatafuta na picha ili kama itawezekana ama la na mapazia pia nimeyapenda sana,thnx.

    ReplyDelete