Friday, February 3, 2012

House Plans books are available at Homez Deco....(sasa imefika kipindi kua tupunguze kujenga nyumba zinazofanana)

 kitabu hiki ni tshs. 1,000,000/= kina michoro na picha za nyumba730
 kina michoro na picha 95, Tshs. 400,000/=
 kina michoro 100 Tshs. 450,000/=
 kina picha 300 Tshs. 650,000/=
 kina picha 200 Tshs. 550,000/-
 kina michoro 300 Tshs. 650,000/=
 kina michoro 300 Tshs. 650,000/=
 kina michoro 320 Tshs. 600,000/=
 kina michoro 1295 Tshs. 1,000,000/=
 kina michoro 80 Tshs 400,000/=
kina michoro 400 Tshs. 750,000/=

kumbuka, vitabu hivi vinakupa maelezo yote unayohitaji kujenga nyumba yako uliyoichagua, vitabu hivi pia vinatumiwa na archtechs, engeneers. sasa ukiwa nacho unakua umerahisisha, na kua na uhuru wa kuchagua design ya nyumba uitakayo....

hebu fikiria, mimi, wewe, na yule kila mmoja wetu akawa na kitabu hiki, tukajenga, mtaa wetu haujawa mzuri, haujawa msafi, kuanzia garden, nyumba na  ndani.......hivi ndivyo wenzetu nje mkisafiri ama kuona kwenye tv ndiyo wafanyavyo........

Niliwaahidi vitu vipya this year......tunatakiwa tubadilike......

Karibuni sana, kwa mahitaji ya kitabu tuwasiliane 0713-920565

5 comments:

 1. Hi Ms. Namoyo. Hongera na napenda sana kazi zako. This is how women should be, creative, tough, and ready to dare. Nina ushauri tu juu ya bei za vitabu. I think they are too pricy, hizi bei zingekuwa 10 years ago maybe ingekuwa sawa ila sasa hivi na hii internet availability mtu unaingia tu online and get it all you need and more for free mtu ataona why pay all that. Other wise keep up the good work :)

  ReplyDelete
 2. Kitabu kinauzwa $13...!

  Kwa nini ukiuze kwa 1,000,000.00 ?!

  Pia, michoro mingi ya kitabu hicho na vinginevyo inapatikana online.

  Ukiwapa watu access kwa hiyo michoro watajenga utawafanyia kazi yako - interior decoration.

  Kuuza kitabu cha $13 for 1m hata sijui niite nini

  ReplyDelete
 3. Asanteni kwa ushauri wenu, ila ninachoomba mjue ni kwamba hapa pia mfikirie kuna cost za kukileta hicho kitabu mpaka, hapa, pls mzingatie hilo.

  Sawa, sasa hivi kwenye internet kuna kila michoro ya nyumba, ila jamani nimewatafunia karibu kila kitu, and I will keep on doing that...

  Clemens, mi naona hichi ninachokifanya hapa na ninachoendelea kuwaletea kinatosha, itafika mahali nitaambiwa nimeze sasa.kipi bora, mimi kuingia kwenye net na kutoa mchoro mmoja mmoja, ama kuwaletea vitabu vyenye zaidi ya michoro kuanzia 300 na kuendelea ili nikupe uhuru wewe wa kuchagua ukinunua kitabu?

  Vitabu hivi kama unavyojua, wengi hawavileti kwa sababu ya cost za mpaka kifike hapa, na kinaelezea kila kitu, vitu vingi nje ni bei rahisi sana, tena sana, ukianzia nguo, make ups, viatu pochi etc. huko ni bei rahisi sana.

  sasa vikija huku ndio usiseme,

  na mie nimeweka range ya bei ya vitabu, kwamba kila atakayehitaji atanunua kulingana na mfuko wake......

  Nataka ifike pahala sasa mtu achague kuvaa vizuri,kununua dhahabu ama kukaa kwenye nyumba nzuri...then mavazi na vingine vifuate....

  how much do we spend kwenye parties, mavazi etc....

  Ni kuelimishana tu kwa hili.......

  nawatakia siku njema,

  ReplyDelete
 4. Hongera kwa blog, ila hata mimi nimeshidwa kukuelewa katika hizo bei za vitabu!!! nimejaribu angalia tu kimoja unachouza kwa laki sita na nusu (cha nane toka juu)Amazon wanauza dola 9,95 hata ukijumlisha na usafiri na faida yako haiwezi fika kiasi hicho. Au kwa vile watu hawana mazoea ya kununua amazon? Kwa kweli sidhani kuwa nia yako ni kueleimisha wanajamii wenzako waboreshe makazi yao na wewe uweze kuendeleza fani na biashara yako. Watanzania washaibiwa sana na wanaendelea kuibiwa sana na mafisadi ila kama ule usemi wa kiswahili "Avumaye baharini papa ila wengi wapo" na wewe umo.

  ReplyDelete
 5. This is a great inspiring article.I am pretty much pleased with your good work. You put really very helpful story as for House Plans Ireland. It would be great to read something more about this theme.
  Thanks for posting this info.

  ReplyDelete