Thursday, February 16, 2012

WOMENS CELEBRATION...MARCH 3 - TO ALL THE SINGLE MOTHERS OUT THERE......

Napenda kuwajulisha kua, kwa wale wote watakao penda kujumuika nasi katika siku hii, kuna mabadiliko kidogo, niliongea na Shamim, muandaaji wa event hii na akashauri tuchukue meza, ambayo ina viti kumi, na kila kiti ni 50,000/- so kama ni viti 10 ni shs. 500,000/.

Najua kua kwetu sie hii hela ni nyingi ila tukianza kujikusanya mapema hii itapatikana, na tutakaa meza moja, ama meza zitakazopatikana kutokana na wingi wetu, na siku hii basi, ndio itakua ni siku ya kujuana, na tutapanga ni siku gani tukutane ili tujue tunasaidianaje, na tunafanyaje. kujiendeleza.

Mimi aim yangu ni kwamba, tusaidiane, na ifike siku moja tuwe tunaheshimike, kunamsemo unasema UKIONA MWENZIO ANANYOLEWA, NAWE TIA MAJI ......

Jamani, inawezekana kabisa, tukiamua, na kukubali hali zetu....... tusisikilize nani anasema nini, angalia nafsi yako nini inataka, na unataka mtoto wako akue katika mwenendo gani. Ninaamini kabisa kwa kufanya hivi, tutafika mbali, na kupunguza mambo ya ajabu na kuchezeana......

Sisi,  tutakua ni waanzilishi tuuu, ila tukikutana tutachagua viongozi, mwendesha blog etc, nataka tugawane nafasi, na kusaidiana.

SINGLE MOTHERS TUNAWEZA, NA TUTAWEZA.......LOVE YOU ALL......

NB: NAKARIBISHA USHAURI KATIKA HILI,,,,siku zimekwenda.....   kwa atakaependa kujumuika nasi, pls tuwasiliane, ili tupeleke hela kwa pamoja tupate meza yetu.......

TUTANOGAJE SIKU HIYO.........THEME NI KHANGA, AND WE HAVE TO DRESS AND LOOK SEXY..........

3 comments:

 1. KWANI EVENT NI YA SINGLE MOTHERS!

  BE PROUD TO BE A WOMAN AND A MOTHER, DONT SHOUT ALL THE TIME ABOUT BEING A SINGLE MOTHER, ULISHASEMA INATOSHA. ITS LIKE U ARE SPEAKING TO BABA JAYDAN AU NDUGUZE OR SOMEBODY.

  WE ARE YOUR FANS AND WE LOVE U, BUT THIS SINGLE MOTHER BUSINESS SHOULD STOP, AM NOT A SINGLE MOTHER BUT I ALL I CARE IS AM A MOTHER.

  SO USIJISEME SEME HOVYO INAONYESHA HUPENDI USINGLE MOTHER AND YOU ARE TRYING TO SHOW PEOPLE KUA U DONT CARE OR YOU LIKE IT.

  AND BY THE WAY IT IS NOT SEX BUT SEXY

  ReplyDelete
 2. hi, mimi si shout, na wala sitaki malumbano, yaani mie huko siko kabisaaaa, unajua usilolijua ni kama usiku wa giza, na kuhusu spelling ni typing errors ambayo ni kawaida too, maana ninaandika articals nyingi,

  Sasa basi, kama usionyeshe kua mie ninawakandamiza watu, ama ninajionyesha, etc. ninahamasisha wanawake wajitokeze......sasa wewe badala ya kusupport, wanawake wajitokeze siku hiyo,

  anyway siko hapa kwa ajili ya matangazo, au malumbano, blog za malumbano zinajulikana.

  ReplyDelete
 3. HAIKUA KWA UBAYA, I LIKE THE BLOG, VERY EDUCATIVE, WE ARE PROUD OF YOU NA NI WATEJA WAKO. SEMA NAONA KAMA UNAANZA KUENDEKEZA USINGLE MOTHER ZAIDI. KUSEMA MARA MOJA INATOSHA. YOU SHOULD ALWAYS BE PROFESSIONAL.... LET THEM SEE FOR THEMSELVES DO NOT REMIND THEM ALL THE TIME. MAFANIKIO UTAPATA MANA UNAJITUMA NA UTABARIKIWA KWA HILO.

  OUR LOVE TO BABY J

  ReplyDelete