Thursday, February 23, 2012

Understanding how your room will work... Hujaelewa pls email us tukueleweshe..... maana nilisema mwaka huu tutaongelea interior & landscaping in deep. Ili hata wewe mwenyewe uweze kuifanyia kazi.....

Writing lists of how you want to use the room and drawing scale plans are invaluable practical first steps, but creating a room that's pleasant to live in also means taking into account how it works on a daily basis.
Your room isn't static. It has movable parts, including chairs, windows and doors(internal, wardrobe, cupboard adn cabinet) as well as drawers and drawers and window treatments(curtains) and blinds, which will need to be accessed both during the daytime and in the evening, You need to bea able to reach these easily, and to allow for any space they take up when they are open or closed. Remember, too, that the room is a living space, filled with people who will add their physical presence and their belongings, while in the room the'll use and move furniture, altering the room as they do so.

The furniture you choose should be appropriate for both the size of the room and its intended use as well as being a design that pleases you aesthetically.

GROUPING FURNITURE ADN LEAVING SPACE:
The basic rules for arranging furniture are down to earth and easy to remember,
 • Pick a focal point (we will disscus it on the next topic)
 • Group furniture around it 
 • Leave some space free
Leaving space allows the room's design adn layout to 'breath adn. more practically, it enables you and your family and guests to move around the room freely.

It is also important to think about how the room looks as you enter it. Viewing the backs of furniture from the door can make a room appear unwelcoming.  If one room leads directly into another, help the rooms flow easily by allowing a broad enough route through one room and into the next. A walkway approximately 1m (3ft) wide will allow easy access.

Next topic will be Sitting Room (grouping furniture and leaving space) Pls be free to emails us, and we'are hoping the language we are using is okay with you if not let us know either we use kiswahili or.....kama tumechapia mtuwie radhi hahha

3 comments:

 1. Sylvia ahsante kwa kutuelimisha! Lakini naomba niweke jambo moja wazi. Hizi makala mnatoa either kwenye vitabu au kwenye internet so these are not your ideas and hata you do not cite your sources so this is totally plagiarism. Jambo la pili what makes you think kila anayesoma humu anajua kiingereza? Si una partner ni msomi wa South Africa yeye hawezi kuweka ideas zake za landscaping na sijui architect kwa kiswahili ili mkaweka option ya two languages ikawa easy kwa msomaji wa kiingereza na kiswahili. These are just my thoughts. Kwa mtandao huu wa ku copy and paste mngekuwa nje mngekuwa mmeshashtakiwa. Wako so strict na plagiarism. Otherwise thanks for the good work.

  ReplyDelete
 2. ndugu mdau, nakuona umekua mkali sana, mbona ni vitu tu vya kuambiana kawaida, na ndio maana nikaomba ushauri wenu tusaidiane katika lugha, kwamba niandike kwa lugha gani ambayo itakua rahisi kwenu, nilisema tokea mwanzo kua mwaka huu tutaenda deep kwenye interior design & landscaping.

  na kuhusu sisi tunatoa wapi source zetu, hizi arcles tunatoa kwenye shule tulizosomea, sasa nitatoa jina la mwalimu anayetufundisha, usijali juu ya hiyo mwanaharakati wetu.

  Hua hatu copy na kupaste, tunachukua points tuna edit na ndio tunawawekea hatuwezi kuandika page nzima natuwatolee, hivyo ninakuambia hatu copy na ku paste.

  Homez Deco imejitolea kuwaelimisha bure watanzania kwa nia la kuwasaidia, na si kuwachajisha, na kama tunavyojua wako watu wamekaa wanataka source ya sisi tunatoa wapi source na wao waanzishe blog zao kwa urahisi, ili tuu tugongane mawazo.

  source za artical zetu tunatoa vyuoni mwetu tunakosoma.........nitakupa jina la mwalimu...nadhani nitakua nimeukujibu swali lako. and I hope hizi makala zinakusaidia na unazitumia.

  tutajitahidi ku tafsiri kwa kiswahili sisi tuko kwa ajili ya kuelimisha watanzania.

  ReplyDelete
 3. Hi sylvia hope umzima wa afya, Hoongereni na thanx kwa kutuelimisha mambo mazuri ya kuboresha mazingira ya nyumba zetu, mimi ninahitaji tuwasiliane ili nijue gharama zenu kwani nina nyumba mpya bado haijafanyiwa landscaping kama vipi unitembelee maeneo ya Tegeta upaone

  ReplyDelete