Monday, February 6, 2012

Curtains before & after........

 hapa kabla hatuja badilisha pazia....
 Niliipenda hii decoration...
 pazia zikishushwa...
 hua kabla ya kuweka pazia mpya, kua tunafuta vumbi kwenye curtain poles...
 pazia hizoooo kabla hatujazipandisha....
 shee zikiwekwa kwanza...
 zikipandishwa...
 inafuata pazia, main curtain
 hivi ndivyo inavyoonekana baada ya kurekebisha...
 marinda yakiwekwa.......
 hua tuna cheki kama pazia zimekaa vizuri....


 baada ya kuweka pazia, hivi ndivyo muonekano mpya wa sitting room....
 hii inaitwa puff, inaweza kukaa sitting room, ama chumbani, miguuni mwa kitanda....
 hapo chachaaa......., pazia zako za zamani zaweza pata muonekano mpyaa......na zikapendeza....

kazi imekwisha....

3 comments:

 1. hongera, keep it up! hata mbuyu ulianza kama mchicha!

  ReplyDelete
 2. hi there..i just wanted to say hongera kwa kazi nzuri unayoifanya na hata ukiona kimya niko na wewe..all the best

  ReplyDelete
 3. Hi all, asanteni sana kwa compliments, na kunipa moyo wa kuendelea na kazi.

  Nuru thanks usijali, najua sasa hivi kuna kuwajibika, nitakutafuta siku.. be blessed..

  ReplyDelete