Thursday, February 9, 2012

Kitanda cha chuma..... 5 by 6, Kazi ya Homez Deco four poster....


 fundi akiandaa neti,... tunashona neti pia..... neti ni shs. 100,000/-. ni ya kitanda cha 5 by 6, na neti ya kitanda cha 6 by 6 ni 150,000/-. Kitanda cha four poster ni shs. 450,000/-


 mafundi waki fix kitanda...
 neti ikiwekwa, kwa mbali Phide akimsaidia fundi kuweka neti.


Kitanda kiko tayari sasa, hizo chuma za pembeni zinatoka, hiyo ni kwa ajili ya mtoto zinamzuia asidondoke akiwa amelala, zinachomoka kwa urahisi.

Karibuni sana kwa mahitaji ya net na vitanda vya chuma......

6 comments:

 1. Nice work.. Je gharama ya kitanda cha chuma kwa 5*6 na 6*6 ni sh ngapi??
  Pia unatengeneza zile double deka za watoto za chuma?? zinakuwa na kitanda kikubwa kidogo chini na cha juu kinakuwa kidogo na ngazi kama za ku bend?? ni sh. ngapi pia?? Thanks

  ReplyDelete
 2. Kazi nduri but uwe unatuwekea na bei kabisa ili tupange budget tununue. Hongera sana

  ReplyDelete
 3. Asante sana Sylvia for posting my stuff ( Kitanda). Asante kwa kazi nzuri. Mimi na mtoto tunalala very much better na kwa usalama.
  Mungu akubariki.
  Mama K
  Mikocheni

  ReplyDelete
 4. hi mama K, karibu sana, na nimefurahi kua umependa kazi yetu.say hi to my lovely baby Kendra

  ReplyDelete
 5. Nice work.. Je gharama ya kitanda cha chuma kwa 5*6 na 6*6 ni sh ngapi??
  Pia unatengeneza zile double deka za watoto za chuma?? zinakuwa na kitanda kikubwa kidogo chini na cha juu kinakuwa kidogo na ngazi kama za ku bend?? ni sh. ngapi pia?? Thanks

  please respond tuweze kujua gharama

  ReplyDelete
 6. nice work guyz!!i need to knw how much it cost for a net of that kind,,ya kitanda cha 5 by 6,,also if ts possible to mix up colours,instead of it being only white,,,

  ReplyDelete