Monday, February 20, 2012

KUNA UBAYA GANI DAR YETU IKAPENDEZA HIVI,

Ni jukumu la kila mmoja wetu kuanzia ngazi ya familia mpaka ngazi za kitaifa tuambizane ukweli tuache kuzunguka mibuyu acheni kutupa uchafu hovyo abiria, mitaani mnapoishi marundo ya takataka ni jukumu la kila anayeishi hilo eneo si mpaka serikali au mjumbe au mwenye nyumba, akuambie  usafi usafi wa mazingira unamuhusu kila  mmoja wetu na kila mwanajamii baba mama, watoto na wote. kwanini miji ya wenzetu waweze sisi tushindwe??
 
From Jossyanne - USA

No comments:

Post a Comment