Tuesday, February 14, 2012

Happy Valentine's Day.....zawadi kwa SINGLE MOTHERS.....kutoka Homez Deco.

Wapendwa wadau, nilisahau kidogo, asante mdau kwa kunikumbusha, ofa hii ni hata kwa wale wajane pia. so kama unahitaji tuwasiliane, hata kama uko mbali, kazi itafanyika tuu,,,, tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

Nyumba zetu lazima ziwe nzuri na kupendeza, hata kama tunalea peke yetu.... kila kitu kinawezekana.

muda ni mfupi tafadhi wahi ofa hii kabla haijaisha, tafadhali mwambie na mwenzako.

we are in the same boat hivyo ni lazima tushirikiane na kusaidiana, kwa njia moja ama nyingine.

karibuni

No comments:

Post a Comment