Friday, February 26, 2010

Next week on 3/3/2010 itakuwa ni birthday yangu.

Ninayo furaha kubwa kubwa wiki ijayo ni birthday yangu na ninamtukuzu Mungu muweza wa yote kwa kunipa nafasi ya kuishi mpaka sasa, kwani ni wengi wamesha tangulia mbele ya haki. Kwa hilo namshukuru Mungu.

Niko kwenye maandalizi ni wapi nikasherehekeee though it will be dinner like and something small, nitawajulisha ili tujumuike wote, na tufahamiane kwa wale mtakao jaaliwa kuja. Nawashukuru woteee

8 comments:

 1. hey cogratuation for reaching some years.....
  On the same day of ur birthday is my sister's daughter birthday her name is Cindy, i love her to bit.

  Happy Birthday to u in advance

  ReplyDelete
 2. kama mtu akitaka ukamshauri namna ya kupanga nyumbani kwake na aina za mapambo unafanya hivyo?mi napenda sana blog yako sikosi kila siku nataka kwangu pavutie

  ReplyDelete
 3. Kila la kheri, Mungu akuzidishie maisha marefu.
  Mama C

  ReplyDelete
 4. Hi Sylvia, congrat's for that years of age and may godbless you. Guess what? u share a birthday with my lovely mum shes also 3rd of March!!

  Am happy for you and godbless you...i promise to pay a visit and i will do soo soon..guday...Uesha

  ReplyDelete
 5. Hey Sylvia,remember me? I see you have some good stuff for our homes!! Congrats gal kwa kuwa mjasiliamali!! Pia natumai utaenjoy vyema siku hiyo ya bday yako!! Wishing you the best in your life and business as well. Leah.

  ReplyDelete
 6. Happy birthday in advance sweety. On my side 3.3 huwa ni siku mbaya sana kwangu, it was the day when I lost my beloved mum. Ila nakutakia maisha marefu mpenzi na baraka tele.

  ReplyDelete
 7. Thanks all 4 your wishes, and so sorry kwa wewe uliyepoteza mama, mimi ninaamini kua Mungu amempenda zaidi, na wala usiwe unaichukia siku hiyo kwamwe, wewe uwe unamuombea kwa mungu na kufanya misa, ama hitma kama ni muislam.

  Mama yangu alifariki tarehe 3/8/1995, yaani kwenye tarehe yangu ya kuzaliwa na mwezi wa mdogo wangu wa kuzaliwa na alituacha tukiwa wadogo kiasi nilikuwa na miaka 12 na mdogo wangu akiwa na miaka 10. Lakini namshukuru mungu kwayote. hua ninamfanyia misa kila baada ya miaka mitano ama kumi, hivyo nakuombea mungu pia kwa kila jambo.

  ReplyDelete
 8. congrats girl, happy birthday in advance, may you live longer like our fore fathers Be blessed always

  ReplyDelete