Tuesday, February 9, 2010

Valentine's Gifts

Kreative Homez (Homez deco) inapenda kuwakaribisha wote, na kuwajulisha kuwa valentine ya mwaka huu 2010, kwamba tunatoa service ya kufunga maua, zawadi, humper, etc. na kuzituma kokote utakako ziende ila ni kwa Dar - Es - Salaam pekee, kwa mu wapendao.

Flower arrangment inaanzia shs. 35,000/= na kuendelea,
Humpers inaanzia shs, 48,000/- na kuendelea na hapa unaweza kuchagua ukawekewa nini na nini, ama tukakuchagulia
Zawadi inategemea na wewe umeleta nini halafu tukaifunga. etc.

bei zote ni pamoja na usafiri.

Wasiliana nasi kwa namba 0713 - 920565 Karibuni sana

No comments:

Post a Comment