Wednesday, February 17, 2010

Lol, hii tabia ya kutundika vitambaa kwenye milango ya makabati siipendi kabisa, ona vyombo vilivyo jaa kwenye sink, aibu

2 comments:

  1. Ni kweli haipendezi, unashauri tuvitundike wapi mpendwa?

    ReplyDelete
  2. kwa kweli jiko halivutii ,liko mno busy ,jiko linapaswa kuwa neat

    ReplyDelete