Monday, February 8, 2010

TUNAENDELEA NA MADA YA USAFI KWENYE HUDUMA ZA CHAKULA

VYAKULA wakina mama munaouza vitumbua maandazi chapati pale posta mjini nijambo la kusikitisha, sana, uchafu uliopo sehemu hii,pia ni marufuku kutumia magazeti kufungia vitafunio, haya magazeti yamechapishwa na wino ambao ni chemicals hii ni kansa, pia tunajuwaje hayo magazeti yamehifadhiwa vipi, huko nyumbani kwenye vumbi, kwenye panya, tafadhalini wakina mama, wakina dada wauza, vitafunio,
hata vya kula tumia paper bags, au mifuko ya karatasi ya brown,ina athari hata nyinyi wanunuaji walaji nenda na mfuko wako, watoa huduma, walaji magazeti siyo ya kufungia vyakula, iwe nyama, au aina yoyote ya chakula kumbukeni, kuna athari za magonjwa kansa, kuumwa tumbo,tuwe makini sana, hili suala afya yako ni mali wanajamii muelewe.
KWA WAUZA CHIPS, MITAANI NA WANUNUAJI
NADHANI kila mmoja wetu tumeishanunua chips kwa wauzaji tumieni mafuta safi, machafu mwaga mpo ambao mnatumia mafuta ya ajabu mpka mafuta ya transformers jamani hamuthamini maisha, watu kiasi kiasi hicho mnachojali nyiniyi ni pesa, ila . na biashara zenu, pia mnatumia tomato sauce zilizochanganywa kienyeji ni na watu ambao hawana hata utaalamu, wanatumia vitu ambavyo avikupimwa, hakuna viwango,
haya ni mauaji, kwa wnachi, na walaji kwa ujumla, ktk nchi yetu kila kitu ni bora liende tuu. Kwa walaji, tafadhaini, msinunue kansa, reseachers zimefanyika na zimeonyesha, matokeo yake kansa, ndio, maana tunakiwango kikubwa sana, cha kansa nchini, ukiangalia kiwanga cha kansa za aina zote, tangu mwaka 1960 up 1980, kiwango kiliuwa chini ila tangu mwaka 1990 up to 2005 kiwango cha kansa kimeongezeka sana,
hii ni ktokna , mzaingira tunayoishi viwanda, vinatoa moshi wa sumu magari, yanatoa moshi wa sumu petrol ya madini ya risasi ambayo tunaitumia ktk nchi nyingi za kiafrica,
jamani serikali yetu tunaomba muwekee mkazo na sheria ktk uingizaji wa bidhaa zinatoka, china, hongkong, wanatuletea sana, vitu ambavyo havina viwango hata kidogo,
hata kidogo TBS MPOO ANGALIENI ANGALIENI ATHALI ZA HIVI VITU , Mifuko ya karatasi inayofutumika kfungia vyakula kama chips ni
naomba muelewe vizuri chakula cha aina yoyote kikiwekwa kwanya plastic bags kinatengeneza mazingira ya kansa wakina mama wakina dada, wakina baba na wakina kaka acheni ktumia mifuko ya plastics kuwekea vyakula vya moto kumbukeni mnanunua kansa nyinyi wenyewe, reseachs zimeonyesha ni 85% kansa.jali tunza afya yako,
au afya zenu muelishana, tusiwe wabishi yr health is yr wearthy.

From Mrs. Jossanne

No comments:

Post a Comment