Thursday, February 11, 2010

Ile style ya kutoboa ukuta (dirisha) uliotenganisha dinning na jiko it is so over

Ona hili jiko lilivyo, sio lazima ku kremisha eti kutoboa dirisha, kisa iwe rahisi kupitisha chakula, it is so over, kwa jiko hili unaweza kuwa na wageni wako kaka ku join while wewe unapika, viti hivyo viwili pia waweza kusave drinks, na story zikaendelea kama kawaida,

No comments:

Post a Comment