Tuesday, February 2, 2010

Sample za Mitandio kwa ajili Kitchen Party

Kwa mahitaji ya sare za mitandio kwa ajili ya sherehe mbali mbali kama Kitchen Party, Karibu sana dukani, inapatikana, tuna sample ambapo utachagua uipendayo, then tunakuagizia kutoka China na ndani ya mwezi mpaka mwezi na nusu utakuwa umepata mitandio yako.

Na kama una sample zako pia karibu.

Karibuni sana

No comments:

Post a Comment