Thursday, February 11, 2010

Do you think this is a best way to store your accessories? Wadau mnakaribishwa kuchangia


2 comments:

  1. Kwanza nahifia hivyo vikombe na visahani vinaweza kuvunjika wakati wa kufunga na kufungua droo. Nimewahi kuweka cheni na hereni kwenye box then nikafungia kwenye droo wee vilijifunga hivyo vitu ilibidi nikate cheni moja ili nikoe vingine. Sidhani kwama ni salama kwa kuhifadhi ila kwa display inaweza kufaa, kama pichani nahisi ilikuwa nidisplay tu kwani huwezi kuweka bakuli halafu ukahifadhi hereni pea moja au mbili.

    ReplyDelete
  2. Mi naona kama utakuwa umezidisha makorokoro! manake hivo vikombe bakuli na sahani peke yake ni accessories!! lol

    ReplyDelete