Friday, February 12, 2010

Huu je?

Sio lazima pochi ukazitundika kwenye mti wa kutundikia, waweza pia kuziweka kwenye droo ila droo usiifunge mpaka mwisho acha nafasi kidogo ili hewa iingie na inatakiwa kila baada ya muda uwe unazitoa na kuaangalia kwani zaweza kupata ukungu. Viatu navyo pia,

Hii design ni kwa wale wenge space ndogo

No comments:

Post a Comment