Thursday, February 11, 2010

This kind of bedroom is so organized


Hiki chumba kinaonekana sio kikubwa sana, ila kiko so organized, hicho kikochi kidogo kilichowekewa pochi, hua kinasaidia sana kwenye kuvaa viatu etc, yaani baada ya kuwa umeshatandika kitanda chako badala ya kukaa tena kitandani na kuanza kuvaa viatu,etc unakitumia hicho kiti kwa vitu kama hivyo.

It's a very nice room

No comments:

Post a Comment