Thursday, February 11, 2010

Look at this sofa!!!

Sio lazima kuwa na masofa ya gharama, ona hili sofa, hata chuma zake zina kama kutu hivi, ila limewekwa accessories kiasi kwamba huwezi ku notice kwa mara moja kuwa chuma zake haziko sawa,

Accessories can make wonders in your house.

1 comment:

  1. Upendo E.Mollel.July 1, 2010 at 3:03 PM

    This sofa is so lovely dear, yani nimelipenda sana. Big up baby, napenda kazi yako. Hii homez deco ni duka au is just a blog. Kama ni duka niambie liko sehemu gani coz napenda homez deco.

    ReplyDelete