Thursday, February 11, 2010

Hiyo design ya hiyo miti ni big no kuwapo hapo


Naomba ifahamike kuwa sio kila maua ama miti yanafaa kuwekwa ndani, ona kama hii, haijapendeza kabisa, sasa basi wakati unaweka maua ndani kua mwangalifu wa kuchagua, na pia weka kwenye mwanga ili yasinyauke, na inashauriwa at least uwe unabadilisha kila baada ya siku 3.

No comments:

Post a Comment