Tuesday, February 2, 2010

Stop Killing Animals .........Asante mdau wangu Eva kwa kunitumia pictures hizi.....

Haya ndio matokeo ya wanyama hawa baada ya kuuliwa, halafu mi nadhani hawa wanyama wengi wao wanatokea Afrika jamani ama nyie wenzangu mnasemaje? Kweli furniture ni nzuri lakini jee tutaendelea kuua mpaka lini? Na ukiuliza bei ya hizi furniture jamani hara u save mara ngapi mshahara wako haufiki kununulia hizi furniture kwa jinsi zinavyokua ghali, lol .........It's tooo sad ..............
1 comment:

  1. jamani kwani mali asili wapo au hawapo?hao wanyama wanatoka africa wewe huwezi amini sasahivi ngorongoro cretor wamebaki vifaru 37 tu sasa jamani hata kama kweli wanyama wanahama hama lakini ndo wapungue that much ah ah jamani AFRICA sijui tutanunuliwa na kuonewa mpaka lini?

    ReplyDelete