Tuesday, February 9, 2010

Umejiandaaje na Valentine?

Valentine ya mwaka huu umejiandaaje? Naomba tushee mawazo kwa faida ya wote.

Kwa upande wangu, miaka miwili iliyopita nilikuwa nikisherehekea na familia, yaani mama, na wadogo zangu.

Ila this year, itakuwa special kwa partner wangu, itakuwa tuu ni casual, simple, na ni private, we tutakwenda beach, na tutafanya lunch piknick just for the two of us. And have a lots of fun. That will be during the day. Maua hayatakosekana hapo, chocolates, etc. Na hivi ninavyopenda chocolates, nimejaribu kuacha nimeshindwa jamani.

Wewe je umejiandaaje?

No comments:

Post a Comment