Monday, February 1, 2010

Habari njema!!!!! 2010

Napenda kuwafahamisha wadau wote kuwa sasa Kreative Homez (Homes Deco) imeanza rasmi kupamba sherehe mbalimbali kama
  • Harusi
  • Send off
  • Kitchen Party
  • Kipaimara etc......
Najua mtakuwa mnataka kuona picha kama wengi wetu tuliozoea, ninachoweza kusema ni kuwa picha mtu anaweza kwenda kuazima album kwa mpambaji mwengine na kukuletea wewe mteja, kinachohitajika hapa ni ubunifu na kupendezesha sherehe.

Sasa kwa hilo kwetu halipo, ufikapo ofisini kwetu, tunaongea ili tujue unataka sherehe yako iweje na kukushauri na kukuonyesha jinsi gani tutakavyopamba sherehe yako.

Karibuni sana.

No comments:

Post a Comment