Wednesday, February 17, 2010

Inapendeza sana sana, na tujivunie utajiri wetuRangi zimechanganywa vizuri, mpangilio, ubunifu, inapendeza sana, tuache tabia ya kulalamika oohh ninawawekea sana vitu vya gharama, etc. Ninachotaka kuwaambia ni kuwa ninawaletea makala ambazo wewe mwenyewe utachambua na kujua kuwa wengine wanafanya nini, tusieendelee ku kremisha kua ukuta wapakwa rangi nyeusi na skating nyeusi chini, Viko vitu vingi vya kujifunza.

Kila siku naimba kuwa tuache tabia ya ku COPY AND PASTE. JUST COPY EDIT AND PASTE, kwa namna hii tutafanikiwa na ndio maana ukienda nyumba nyingi huwa zinafanana.

Nipo nitumieni kwa maswali, kwa ushauri, etc. TUACHE KULALAMIKA KUMEPITWA NA WAKATI.

No comments:

Post a Comment