Thursday, February 18, 2010

Uhifadhi wa viatu

Hii inashauriwa kwa watu wenye space ndogo, ni kwa jinsia zote, ila hakikisha haufungi hizi droo mpaka mwisho ili kuruhusu hewa ipite, na viatu viwekwe kwenye hali ya usafi siku zote
Na hii ni kwa wenye space kubwa, ninashauri tusing'ang'anize kujaza vitu ndani, jaribu kuweka fanicha za design za 2 in 1, hii itakusaidia kujaza vitu, na kuwa na muonekano mzuri sana.

No comments:

Post a Comment