Friday, February 19, 2010

Baby Girl's room

2 comments:

 1. Hi Sylvia, hope all is fine hongera sana kwa kazi nzuri! Nimependa sana hii room ya baby girl na mimi nina baby girl of 3yrs and 2month je nitapata wapi product hizo na haswa ka small shelf aweze kupanga vitabu na midoli yake na hata hiyo set ya meza wapi nitapata naomba muongozo.

  Kazi njema,

  Uesha

  ReplyDelete
 2. Hi Uesha,

  Hongeera sana kwa baby girl, kwa sasa mie sina hizo products ila nitakujulisha kwa kupitia huku huku kwenye blogspot kama mzigo umeingia.

  nakutakia siku njema.

  ReplyDelete