Monday, February 15, 2010

Napkin folding website.(Asante sana Jackie)

Ninapenda kutoa shkurani zangu za dhati kwa wadau wangu wote, tunaokwenda sambamba ambao sio wachoyo wa kuelimishana, yaani ni kwamba, huwa wananitumia posts, picha, na hata websites za kuelimishana,

Blog hii ni yakuelimisha, na kama una mawazo, elimu unataka kutoa, picha, etc, karibu ujumuike nasi,

Hii website nimetumiwa na mdau wangu anaitwa Jackie, inaonyesha jinsi ya kukunja napkins, karitu tujumuike wote, nakushukuru sana sana Jackie kokote uliko.

napkinfoldingsecrets.com hii ndio website niliyotumiwa na Jackie. karibuni sana

No comments:

Post a Comment