Monday, February 22, 2010

It's all about bedding (vitanda vyote ni bila godoro, na vinapatikana kwa kutoa order,na baada ya siku 5-7 utapata kitanda chako)

Tshs. 370,000/=
Tshs.440,000/-
Tshs 460,000/-
Tshs. 390,000/-
Tshs. 380,000/-
Tshs. 460,000/-

4 comments:

 1. MINIMEPENDA HIVO VITANDA VIZURI SANA ILA NINGEPENDA AMABCHO KINA SEHEMU YAKUWEKA NET SIUNAJUA TENA MALERIA HAIKUBALIKI PILI NATAKA KUJUA UNAYO MAPAZIA HAPO DUKANI KWAKO NA MAPAMBO MAZURI NAWEZA PATA HAPO KWAKO ?

  ReplyDelete
 2. Asante sana, mapazia nina sample za design na ninakutafutia material then mie ninakushonea according to the design ambayo umechagua.
  Na mapambo yako.

  Kwa upande wa vitanda tuna weka chuma ambazo zinakua na pembe nne kwa ajili ya net. ila bei itaongezeka kidogo. karibu sana

  ReplyDelete
 3. Hi mambo dada, Yaani jamani am in love with ur blog,sababu niko addicted na vitu vya ndani.
  unavyosema mtu unatoa order unatumia wapi au contact number zako? '
  swali lingine unaduka hapa dar? ni wapi ,pleasee kuna vitu naona vinanitoa wazimu

  ReplyDelete
 4. Hi,

  Asante sana kwa pongezi, ukihitaji kutoa order, unaweza kunitumia kwenye email pamoja na picha ya hiyo fanicha, ama kwa simu, lakini tunapokea order itakayoambatana na deposite at least half of the amount.

  duka liko kinondoni manyanya karibu na petrol station ya mwanamboka bp. kwa mbele kama unaelekea mwananyala kwenye service road kuna maduka mapya ya u shape na kuna saloon ya kiume ndio hapo.karibu

  ReplyDelete