Tuesday, February 9, 2010
Hall way decoration
Kote nimezungumzia, ila hii sehemu nakumbuka niliwahi kuigusia tuuu, sasa leo nitaizungumzia, hall way ni ile sehemu ambayo iko karibu na mlango wa kuingilia ndani, yaweza kuwa ni sitting room, ama corridor inategemea na design ya nyumba isiwe tuu ni jikoni ama karibu na chooni, baada tu ya mlango kwa mbele kidogo, ndio waweza kuwe furniture kama hizo hapo juu, yaweza kuwa ni kikabati kidogo, meza ndogo, ama meza na kioo.
Sehemu hii yatumika kuwekea vitu vidogo vidogo kama funguo, mwamvuli ila isiwe mingi sana, unaweka kwamuda kabda ya kuifikisha mahali husika,yaani inasaidia na kupunguza kutupa tupa vitu.
Kwa upande wa mapambo waweza kuweka mishumaa, taa ndogo za urembo, flower verse, maua etc.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment