Friday, February 26, 2010
Next week on 3/3/2010 itakuwa ni birthday yangu.
Ninayo furaha kubwa kubwa wiki ijayo ni birthday yangu na ninamtukuzu Mungu muweza wa yote kwa kunipa nafasi ya kuishi mpaka sasa, kwani ni wengi wamesha tangulia mbele ya haki. Kwa hilo namshukuru Mungu.
Niko kwenye maandalizi ni wapi nikasherehekeee though it will be dinner like and something small, nitawajulisha ili tujumuike wote, na tufahamiane kwa wale mtakao jaaliwa kuja. Nawashukuru woteee
Niko kwenye maandalizi ni wapi nikasherehekeee though it will be dinner like and something small, nitawajulisha ili tujumuike wote, na tufahamiane kwa wale mtakao jaaliwa kuja. Nawashukuru woteee
Even a house needs accessories
Usihofu kuweka manjonjo nyumbani kwako, pamba nyumba yako kulingana na mfuko wako na always feel free and enjoy doing that. Usiogope eti watu watanionaje, kwani wao wanakaa hapo? si ni wewe, au wao wanakusaidia chochote? Mimi nina msemo wangu ambao huo ndio muongozo wangu kua naishi nitakavyo na sio watakavyo.
Thursday, February 25, 2010
I'm experiencing a problem in the downloading section since yesterday
Wapendwa wangu so sorry tokea jana nina tatizo kwenye upande wa downloading photos and documents.
Ninalifanyia kazi na natumai mpaka kesho litakuwa limetatuliwa.
Nawaomba samahani kwa usumbufu uliojitokeza.
Nawapenda wote na nawatakia siku njema.
Ninalifanyia kazi na natumai mpaka kesho litakuwa limetatuliwa.
Nawaomba samahani kwa usumbufu uliojitokeza.
Nawapenda wote na nawatakia siku njema.
Tuesday, February 23, 2010
Monday, February 22, 2010
Friday, February 19, 2010
Prayer room in your house
Jana nilipokea Email kutoka kwa mdau wangu aitwae Lucy au Mama P. Na hii hapa ni Email yake: Hi Sylivia!
Natumai mzima, pole na majukumu.
Sasa mimi mdada yule wa zile resting shelters ambazo ulijitahidi ukanitafutia nzuri.
leo nakuomba unisaidie hivi unaandika vitu vingi nafurahia sana ukiwa kama mkristu mwenzangu hivi chumba cha kusalia kwenye nyumba zetu inakuwaje hili swala naona kila mtu anaweka library tunajisahau na hili ikifika usiku tunasali sitting room hapo tunafoge tu au vp wenzetu nchi zilizoendelea nyumbazao vp nao? tunakumbuka chumba cha wageni wkt unaweza kukaa mwaka mzima usipate hata huyo mgeni jamani waelimishe watu ni muhimu sana walitambue hili nalo.
Asante,.
Mama P!
Kwa kweli hii prayer room nilijisahau, ila namshukuru sana sana, kwa kunikumbusha, na ndio maana huwa ninapenda sana maswali, na kujadiliana na ushauri kwani ni kwa faida ya wote.
Chumba hiki waweza kukitengeneza kulingana na Nafasi ya hicho chumba na idadi ya familia yako au watu watakao kuwa wanakitumia.
Naomba msinishangae kwamba nimewaletea ya Kikristo tuu, hapana naendelea kuandaa na ya ndugu zetu waislam kwani mie asili yangu ni muislam ila nilibadilisha dini na kuwa mkristo kwa kumfuata mama yangu. Nampenda sana,
Thursday, February 18, 2010
Uhifadhi wa viatu
Hii inashauriwa kwa watu wenye space ndogo, ni kwa jinsia zote, ila hakikisha haufungi hizi droo mpaka mwisho ili kuruhusu hewa ipite, na viatu viwekwe kwenye hali ya usafi siku zote
Na hii ni kwa wenye space kubwa, ninashauri tusing'ang'anize kujaza vitu ndani, jaribu kuweka fanicha za design za 2 in 1, hii itakusaidia kujaza vitu, na kuwa na muonekano mzuri sana.
Na hii ni kwa wenye space kubwa, ninashauri tusing'ang'anize kujaza vitu ndani, jaribu kuweka fanicha za design za 2 in 1, hii itakusaidia kujaza vitu, na kuwa na muonekano mzuri sana.
Subscribe to:
Posts (Atom)