Wednesday, April 7, 2010

Test........

Asanteni sana sana, unajua darasani mwalimu hua anatoa test, sasa na mimi nimetoa test nione je, blog inafuatiliwa ama napiga porojo tuuuu, lakini sivyo kweli blog inafuatiliwa na nimefurahi sana kua sifanyi kazi ya bure wapendwa wadau wangu, 

Haya hii ingine nimeambiwa niwe na aka, na hii nilishauriwa na dada yangu, sasa nimekaa nikafikiria, nimepata jina, naomba ushauri ni zuri? ama naomba mnichagulie nyie wadau wangu.

Jina ni SAM,ama SAMI, nimechukua jina la marehemu baba yangu SAID na la marehemu mama yangu MIRIAM, I'm christian sasa msiulize imekuwaje hahahhaha.( nimelelewa na mama zangu wadogo na wajomba etc) anyway sitaki kuingia into details saaaananaa.

Love you all,

Regards,

Sylvia 

2 comments:

  1. Mbona aka???I am Ugandan, my swahili siyo sanifu saana kama TZ. But I think if unaitaji aka if that was your question then SAMI is good!!! Great naipenda blogi yako :))) kuna tatizo la kupost :((

    ReplyDelete
  2. Thanks a lot for your comment, and for being my blog fun, I will consider your compliment. And I am happy that i have funs from Uganda, and may be you will envite me to come and visit in your country, i haven't been there.

    nice weekend.

    ReplyDelete