Wednesday, April 14, 2010

Pata undani wangu wa jinsi nilivyoanza biashara, kwenye gazeti la Daily News kesho 15/4/2010 kwenye section ya mjasiriamali.

Nashukuru sana, kwa hatua niliyonayo sasa, kuwa ninachokifanya watanzania mnakikubali, gazeti la kesho la Daily News kwenye makala ya mjasiriamali utapata undani wangu wa jinsi nilivyoanza biashara na mpaka sasa. Na pia kwenye makala ya HOME DECOR, inayotolewa na gazeti WOMEN linalotolewa na Daily News kila alhamisi, nimeandika makala ya Ni jinsi gani ya kuchagua rangi za nje za majumbani mwetu.

Nawashukuru wote, kwa kuniwezesha kufika hapa, hii ikiwa ni pamoja na familia yangu.

From,
Sylvia - Homez Deco.

No comments:

Post a Comment