Wednesday, April 14, 2010

HARUSI TRADE FAIR!!

Kutoka kushoto ni Sylvia-Homez deco, Jossyanne, tulipata wasaa wa kutembelea banda la 8020 fashions, na tulipata pia wasaa wa kuonye/kufundisha jinsi ya ku apply make up. Jossyanne sio tu ni professional landscper bali pia ni make up artists. Make up hizo ni orgnal na zitakuwa zinapatikana dukani Homez Deco na duka la 8020 fashions. tutawajulisha ni lini rasmi zitakuwa zikipatikana. Picha zaidi ya jinsi ya kupaka make up zinakuja, na tutatoa hilo darasa hvi karibu kwa wote, ( MAKE UP KUNA ZA MCHANA NA USIKU SASA WENGI WETU HATUJUI KUTOFAUTISHA, DARASA LINAKUJA HIVI KARIBUNI TUTAWAJULISHA NI WAPI NA LINI.) wink- sio kwamba tuliambizana tuvae green, imetokea tuuu hahhaha.
Hapa ndipo 8020 fashions alikuwapo kwa siku hiyo kuonyesha bidhaa zake, zilikuwa nzuri sanaaa.
Design za keki zilikuwa ni nyingi na nzuri, kwa kweli nilichanganyikiwa, haya design kombe la dunia lilikuwepo. It was very nice.Ikikuwa ni nzuri sana sana, washiriki walijitokeza, na walipendezesha sana, nilipata wasaaa wa kuonana na watu na kujua ni nini wanafanya. Msikose mwakani kwani itakuwa kila mwaka, na tuombe Mungu uzima, kwani mwakani HOMEZ DECO - KREATIVE HOMEZ ITAKUWA NI MMOJA WA WASHIRIKI WA MAONYESHO HAYA.

Picha hizi ni kwa hisani ya 8020 fashions. for more pictures pls visit http://8020fashions.blogspot.com

No comments:

Post a Comment