Thursday, April 8, 2010

Huu ndio muda mzuri wa upandaji gardern na mvua hizi

Kwa wanaohitaji kufanyiwa landscaping, huu ndio muda mzuri na mvua hizi, hua mimea inashika vizuri ardhini.

Mrs. Jossyanne George yuko Tanzania, mnakaribishwa kumpa kazi, sasa sio tena anaondoka ndio mnajitokeza, ana mwezi mmoja tuu hapa nchini

Wasiliana nasi kwa email ama simu, 

No comments:

Post a Comment