Friday, April 16, 2010

Gazebo (Garden House)

Hizi design za nyumba za garden zinaitwa GAZEBO. Huwa zinatumika kwa mapumziko garden, ama ukiwa na wageni unaweza kukaa nao hapo, kwa kweli ni nzuri na hupendeza sana, na hazina gharama sana kuzitengeneza. nitaendelea kuwaletea design zingine, na nitawajulisha ni lini Homez Deco tutaanza kuzitengeneza.

1 comment:

  1. Vipi Sylvia hujaanza kutengeneza Gazebo?

    ReplyDelete