Kwa upande wangu mimi naona afadhali ya mwonekano wa kwanza, Why 1. Blog yako imebase kwenye home decoration rangi ya blog I mean background inatakiwa ishine isiwe dark kama inavyoonekana.
2. Because the owner of the blog is a lady ungechagua rangi ya kike inayovutia inayoshine kama wewe ulivyo mrembo. Hii rangi uliyochagua imekaa kiume sana na iko giza haishine. 3. Kwa upande wa arrangement nimeipenda ibaki kama ilivyo and the content, the problem is selection of colour.
4. Mambo ya mapambo yaendane na mwonekano ili mtu yoyote akiifungua anajua kweli this is homesdeco
This is too dull! Since you are featuring home deco and all that goes with it, the previous was much brighter and suited the info.Just my opinion!! this new background, kills its shine!!! Otherwise good job on your blog. Love checking it out!
Kwa upande wangu mimi naona muonekano wa mwanzo ulikuwa mzuri zaidi, lakini hata huu si mbaya ila labda Picha ziwe upande wa kulia na maneno upande wa kushoto. Kwa upande wangu niona kama kusoma maneno yakiwa kushoto ni rahi sana na ku-click picha zikiwa kulia ni rahisi sana kwani ukiwa katika computer unashika mouse na mkono wa kulia inakuwa ngumu kupele kushoto kwa ajili ya picha ni rahisi kama vile mwanzo picha kulia. Labda hii kwa wale wanotumia mkono wa kushoto. Hata hiyo profile yako iwe kulia au katikati. Haya ni mawazo yangu.
Kwa upande wangu mimi naona afadhali ya mwonekano wa kwanza, Why
ReplyDelete1. Blog yako imebase kwenye home decoration rangi ya blog I mean background inatakiwa ishine isiwe dark kama inavyoonekana.
2. Because the owner of the blog is a lady ungechagua rangi ya kike inayovutia inayoshine kama wewe ulivyo mrembo. Hii rangi uliyochagua imekaa kiume sana na iko giza haishine.
3. Kwa upande wa arrangement nimeipenda ibaki kama ilivyo and the content, the problem is selection of colour.
4. Mambo ya mapambo yaendane na mwonekano ili mtu yoyote akiifungua anajua kweli this is homesdeco
Thanx huo ndio mchango wangu
This is too dull! Since you are featuring home deco and all that goes with it, the previous was much brighter and suited the info.Just my opinion!! this new background, kills its shine!!! Otherwise good job on your blog. Love checking it out!
ReplyDeleteM in Los Angeles
hi all thanks kwa comments zenu, kwa kweli hua ninafurahi kujua kua mko nami all the way mpaka LA, thanks a lot, let me do my thing and change it.
ReplyDeleteMwonekano wa mwanzo ulikuwa mzuri zaidi.hii haivutii kabisa
ReplyDeleteKwa upande wangu mimi naona muonekano wa mwanzo ulikuwa mzuri zaidi, lakini hata huu si mbaya ila labda Picha ziwe upande wa kulia na maneno upande wa kushoto. Kwa upande wangu niona kama kusoma maneno yakiwa kushoto ni rahi sana na ku-click picha zikiwa kulia ni rahisi sana kwani ukiwa katika computer unashika mouse na mkono wa kulia inakuwa ngumu kupele kushoto kwa ajili ya picha ni rahisi kama vile mwanzo picha kulia. Labda hii kwa wale wanotumia mkono wa kushoto. Hata hiyo profile yako iwe kulia au katikati. Haya ni mawazo yangu.
ReplyDelete