Wednesday, April 28, 2010

Hali ya hewa ya leo mmmhhhhh!!!!

Leo Jiji Dar mvua inanyesha mfululizo tokea jana, yaani net ni matatizo, mitandao pia, barabara ndio usiseme,

Mie mpaka kifua na flue, sauti ndio usiseme, naomba nipumzike kidogo nitafakari jioni narudije kwangu, lol, jua lilikua kali, mvua imekuja imepitiliza basi balalaaaa tupu.

No comments:

Post a Comment