Wednesday, April 7, 2010

Ukuta unaoning'iniza plazma television

Tumekuwa tukining'niza plazma tv, kuta nyingi hua tunaziacha tukisha tundika hizi tv zetu, ni kweli hizi tv ni za kutundika ukutani ama kuweka kwenye stand zake specially, ila isiwe tena ndio tunakuwa kama robot kwamba tunakremisha tuuu, tundika picha zako, ambazo zinavutia, picha hizi zaweza kuwa ni za mapambo, zakwako etc. Na usizijaze mpaka hiyo tv tena ndio ikawa haionekani, na upange kwa mpangilio.

1 comment: