Thursday, April 29, 2010

Jiko la nje - to you Praxeda


Hi Praxeda, nimelifanyia kazi ombi lako na pia naomba radhi kwa kukucheleweshea, hizi ni baadhi ya design za majiko ya nje ya mkaa, sio lazima yawe na makabati kama ya majiko ya ndani, na hata kama utahitaji makabati basi usiweke mengi sana, angalia design hizi na natumai zitakusaidia sana,tuwasiliane kwa mahitaji yako mengine.

No comments:

Post a Comment