Friday, April 16, 2010

JEAN BRIDAL SHOWER 10/4/2010(HONGERA SANA SANA, NA MUNGU AKUTANGULIE KWENYE MAISHA YENU YA NDOA) LOVE UUUUUUUUUUU SIS.

JEAN BRIDAL SHOWER!!

BRIDE::JEAN
EVENT::BRIDAL SHOWER
VENUE::SALENDER HALL

COLOR::HOT PINK & WHITE

MC::JAMILA KITIM TIM


kwa hisani ya 8020 fashions, thanks a lot sis.
Hakika ulipendeza, na nimependa sana make up yako, ulikuwa so natural that day, hukuaharibu picha, na hivi ndivyo make up zinavyotakiwa kupakwa, jamani mtu usiwe artificial, Just look natural, na hata mpambaji wako saloon akikuzidisha make up mwambie usiogope, maana utachukiza na sio kupendezaaaaa. LOOKING GOOD AND NATURAL SIS,
Somo akimsaidia kujitayarisha kuingia ukumbini. Mlipendeza sanaaaaaaa


Bi harusi mtarajiwa akiwasalimu wageni waalikwa ukumbini. She is so pretty and the make up was
Huyu ndie somo wake, looking good with the pose.

Shurti kwa air freshner wakimuingiza mwali ukumbiniiiiiiiiii..

Hizi ni baadhi ya zawadi alizotunzwa
Mie nguo yake tuuu, ulipendeza dada katika siku yako hiiii Hongeraaaaaaa
Ukumbi kwa ndani unavyoonekana!!!
Hapa ndio alipokaa bibi harusi wetu mtarajiwa, I love the set up, hakukaaa mbele alijichanganya, and it was so nice
Mashaallalaaaaahhh mduara, somo nae hamuachi bi harusi wake, Inapendeza sanaaaaaa
Hii niliipenda,
Card was nice toooo

Wacha weeeee kwa pozi tuuuuu, hongeraaa

Mwaaaa mwaaaaa mwaaaaa, sis
Mambo ya gladiator hayakuwa mbaliiiiiii


RED CARPET

Nimependa keki yake it was nice, mie hicho kitaaa cha kunawia mikono ndio kimenikoga moyo wangu, maana ukiandaa chai ama chakula, lazima uwe na kitambaaa cha watu wakinawa wajifutie mikono yao,
Keki zilikuwa za kumwaga...... kila meza ilikuwa na keki, yaani fullll kujiachiaaaaaa
Favoursss hizoooooooo
Mdogo wa bibi harusi mtarajiwa hakuwa nyumaaaa, Looking goood Irene na tulipewa hivyo vipepeo wakati wa kuingia, hakika mlijipanga wajameni......


RED CARPET
Lovelyyyy looking, Irene and Chairwoman, wow the shoooeesssssss, nilisikia wakisema they are from VIATUZ SHOP.


Zena wow how sweet of youuuuuuu,

Pozi hiiiloooooo,
Looking good, na gladiators ndio usisemeeee
No comments:

Post a Comment