Thursday, April 1, 2010

SALE SALE SALE!!!!!!!! BEI KARIBU NA BUREEEE!!!!NAWATAKIA PASAKA NJEMA NA MAPAMBO MEMA!!!!KARIBUNI DUKA LA HOMEZ DECO LILILOKO KINONDONI MANYANYA KARIBU NA SHELI YA BP MWANAMBOKA, DUKA LIKO BARABARANI KABISA KWENYE SERVICE ROAD. KUNA SALE YA MAPAMBO YA NDANI, YAANI BEI NI SAWA NA BURE, KUNA FLOWER VERSE ZA CERAMIC ZILIZO NA MAUA KABISA, MISHUMAA, BURNER, VIKAPU VYA MATUNDA ETC,.

 

NB: PICHA ZAIDI ZITAKUJA MUDA SIO MREFU, CONNECTION INASUASUA KU DOWNLOAD.

NA UKIHITAJI KULETEWA HILO LINAWEZEKANA, ILA NI KWA JIJI LA DAR, KWA MIKOAN TUTAWATUMIA KWA BASI, HELA YA KUTUMA NI JUU YAKO KWA WATU WA MIKOANI.

KARIBUNI SANA SANA SANA, SIMU 0713 - 920565.

No comments:

Post a Comment