Thursday, April 1, 2010

NANI KASEMA BAFUNI HAKUWEKWI MAUA? BEI NI SAWA NA BUREEEEEE(FLOWER VERSE ZOTE NI CERAMIC) KARIBUNI SANA DUKA LIKO KINONDONI KARIBU NA SHELI YA BP.
3 comments:

  1. Dada ni flower vase, sio verse

    ReplyDelete
  2. Asante kwa kunirakebisha, si unajua lugha sio ya kwetu, na sometimes ni typing error ukizingatia ndio net imekuchosha inavyozingua basi balaaa tuupu, asante sana.huwa ninapenda kurekebishwa pale ninapokosea etc....

    ReplyDelete
  3. asante kwa kunirekebisha, ni typing error especially net inavyokuwa inachanganya,

    ReplyDelete