Wednesday, April 7, 2010

Hivi kabla haujafua, unaangalia lebo za nguo zako zinakueza vipi?

Kama nilivyosema, by profession mimi ni hotelier, na moja ya somo tulilokuwa tukifundishwa ni House keeping, ndani ya hili somo unafundishwa kusoma na kujua lebo zote za nguo, kwamba zifuliwejwe.

Je wewe hua unaangalia nguo zako kabla ya kuzifua?? kwamba hii inataka maji ya moto, inahitaji dry cleaning, haihitaji bleach etc?

Zile lebo nyuma ya nguo yako, ama pembeni ya nguo yako kwa ndani unazielewa????

Mama yangu aliyenilea since I was 12 years old, yeye ni hotelier, amefanya kazi ya hotel miaka kama 20 hivi kulingana na kumbukumbu zangu na sasa ni mwalimu wa somo la house keeping kwenye chuo cha taifa cha utaliii.       

(mama ndie amenifundisha darasani hili somo la house keeping, jamani kwanza ni mkali, hata home, sasa emagine ndio anakufundisha darasani, lol halafu ufeli sasa, maana kwa upande wangu mie bora mtu anichape kuliko kunigombeza maana hua haviiishi, ukigeuka unae, ukifanya kosa siku ingine anakukumbushia basi balaaaa tupu. ILA AMENISAIDIA SANA NA NDIO MPAKA SASA NIKO HAPA SASA HIVI NAIELIMISHA JAMIIII)

I LOVE HER, SHE'S MY MUM AND SHE WILL ALWAYS BE MY MUM IN THIS WORLD, LOVE UUUUUUUUUUUUUUUUUUU MUM.......

No comments:

Post a Comment