Tuesday, April 13, 2010

How about this design?

Yaani mie kusema kweli, na mbwa na paka ni vitu viwili tofauti, ninawaogopa, tena kwa upande wa paka sipendi ile tabia yake ya kupita miguuni jamani, mbwa ane kurukia rukia, lol sasa sijui ni ugonjwa ama ni nini?

No comments:

Post a Comment