Thursday, April 29, 2010

Back to Business (Full time mjasiriamali)

Ninayo furaha kuwaarifu ya kuwa kuanzia tarehe 1/5/2010 nitakuwa full time mjasiriamali, kwa maana ya kwamba mwanzoni nilikuwa nimeajiriwa, ila sasa ninarudi kwenye biashara (fani yangu) , na kwa mahitaji yenu ya interior design duka liko wazi kuanzia jumatatu - jumamosi. Muda ni kuanzia 9:00am - 7:00pm. Nipigie simu kufanya appointment, cause mabe ninaweza nikawa kwenye kazi ya mteja mwingine.

Shughuli zitakazokuwa zikipatikana Homez Deco-Kreative homez ni pamoja na
 1. Kupaka rangi nyumba, ofisi etc.
 2. Furniture arrangment
 3. Gardening
 4. Interior decorating
 5. Consultation
 6. Curtain design
 7. Curtain poles
 8. Metal furniture
 9. Decorations
 10. Wardrope arrangment.
NB: Kwa consultation fees ni Tshs. 10,000/=, na tuna samples za rangi mbalimbali na nyingi, na sample hizi sio tuu kwa ajili ya kupaka ukutani zinaweza kutumika kwenye maharusi, furniture arrangment, etc.


Nawakaribisha sana sana, duka liko maeneo ya kinondoni Manyanya karibu na sheli ya BP Mwanamboka, kwenye service road ya upande wa hiyo sheli kuna maduka mapya. Tuwasiliane kwa simu namba - 0713 - 920565.

Nawashukuru wote, kwani bila nyie nisingefika hapa nilipo, Mungu awabariki woteeeee.

1 comment:

 1. HONGERA KWA KUWA FULL MJASIRIAMALI.NITAKUTEMBELEA CKU ZA HIVI KARIBUNI!!

  ReplyDelete