Thursday, April 15, 2010

Hii ni kwako Praxeda, I hope nimekujibu,

Hi Praxeda, nimelifanyia kazi ombi lako, na kama unavyoona, katika color zako, unaweza kuchanganya rangi zako ambazo ni white, brown, ukaongezea na orange, light blue, black, na pakapendeza pia. Huwa ninawaambia kua ukijiamini kwenye rangi basi patapendeza. Nakutakia siku njema.

No comments:

Post a Comment