Tuesday, July 3, 2012

Kazi, site ya Mwananyamala.........

 Baada ya kuweka pazia, design ilikua ni ya eyelet......tuliweka chuma za pazia na tukaweka na pazia.....kwa mtazamo wa haraka haraka, mteja wangu huyu alitaka neutral color  sitting room.....

 Hapo juu ni mimi na fundi tukiweka vizuri pazia......
 Sitting room kabla.....
 Nikitaweka pazia.......
 Chumbani.....tuliweka pazia na chuma za pazia....
 Chuma za pazia....
Hapa ni baada ya pazia kua tayari..... Nashukuru mteja wangu alipenda kazi yangu, nami hua nina amani sana mteja anapokua anafurahia kazi yangu.......


1 comment:

  1. Nakupongeza sana mpendwa kwa kazi nzuri keep it up napenda sana wanawake wanaojituma kama wewe.

    ReplyDelete